hat

n kofia, chepeo, heti. go/come ~ in hand njoo/nenda kuomba msamaha. pass/send round the ~ changisha fedha. talk through one's ~ (sl) payapaya, bwabwaja keep information under one's ~ tunza siri, funika kombe lift ones's ~ to somebody toa heshima. take off one's ~ to (fig) vulia kofia; shangilia. (US) throw one's ~ into the ring ingia/ingiza kwenye mashindano/ulingo. ~ in hand kwa unyenyekevu. ~ off to... (fig) makofi! tunashangilia...! my ~! ala! a bad ~ n (sl) (mtu) mwovu. ~-band n utepe wa kofia. ~-pin n chupio ya kufungia kofia. ~ trick n magoli matatu mfululizo. hatless adj bila kofia. hatter n mtengeneza kofia. as mad as a ~ter kichaa kabisa.