harpy

n (Gk myth) 1 mwanamkendege: kiumbe mkali mwenye sura ya mwanamke na kiwiliwili cha ndege. 2 mwanamke katili na mchoyo.