harmony

n 1 upatanifu (katika maono, mtazamo n.k.), amani. 2 (music) mwafaka, ulinganifu wa sauti. harmonic adj (of sound) -a hamoniki, linganifu, -enye kuoana/ kuchukuana. harmonics n sauti za hamoniki. harmonious adj 1 -enye mpangilio mzuri/wenye kuridhisha, linganifu. 2 patanifu. 3 (of music) tamu. harmonize vt patanisha, linganisha. vi lingana patana, chukuana. harmonization n.