harmattan

n hamatani, kipupwe; upepo mkali wenye vumbi jingi uvumao katika pwani ya Afrika Magharibi.