harlequin

n mchekeshaji, mtu wa mzaha. harlequinade n mchezo wa kuigiza ambao sehemu kubwa inachukuliwa na mchekeshaji.