hare

n 1 sungura. 2 start a ~ anzisha hoja, mjadala (usiohusiana na suala kuu). first catch your ~ then cook him usikate mbeleko na mwana hajazaliwa. run with the ~ and hunt with the hounds ridhisha kila upande; -wa ndumila kuwili mad as a March ~ kichaa kabisa. hare-brained adj -a harara; pumbavu. harelip n mdomo uliojigawa (tangu kuzaliwa).