harbour

n 1 bandari. ~ dues n kodi ya kutia nanga. 2 (fig) mahala pa kinga/hifadhi. vt,vi 1 hifadhi, linda, ficha. 2 hodhi (mawazo). 3 tia nanga bandarini. harbourage n mahala pa hifadhi.