happy

adj 1 -a furaha; -a bahati; -lioridhika. as ~ as the day is long -enye furaha kabisa. 2 fadhiliwa; furahishwa. 3 -enye kufaa, inayosibu a ~ idea wazo linalofaa. ~ go lucky adj -siojali; -enye kuchukua maisha yalivyo. happily adv. happiness n.