hanker

vi ~ after/for something taka sana, tamani sana ~ after wealth tamani sana mali. hankering n tamaa have a ~ing for power -wa na tamaa ya madaraka.