hammer

n 1 nyundo. be/go at it ~ and tongs bishana/gombana kwa kelele nyingi; fanya kwa bidii sana. throwing the ~ n mchezo wa kutupa nyundo (nzito). ~ and sickle n nyundo na nyengo. 2 (in a piano) kinyundo. 3 (of guns) hama: kitu kinachopiga na kulipusha risasi. 4 nyundo (ya dalili). be/come under the ~ uzwa mnadani. 5 (bone of ear) nyundo. 6 (compounds) hammer-beam n kombamoyo. hammer-head n kichwa cha nyundo ~shark papa-nyundo. ~-lock n (wresting) maongonyo. vt,vi ~in/ out/down (at) 1 piga nyundo ~ in gongomea; (nails) pigilia ~ down the lid of a box gongomea mfuniko wa sanduku ~ into shape rekebisha. ~ something into somebody's head sisitizia mtu jambo (kwa kurudia sana). ~ something out (metal) babatisha. 2 ~-out (fig) toa/ fanya kwa bidii; fikia kwa kujadili sana ~ out solution fikia suluhisho kutokana na mjadala mkali. 3 ~ away at endelea kufanya kazi. 4 piga mfululizo. 5 (colloq) shinda, twanga.