hamham

n 1 paja agh. la wanyama. 2 hemu: paja la nguruwe lililokaushwa ~ and eggs mayai yaliyokaangwa na hemu. 3 ~ (actor) mwigizaji mbovu a radio ~ mtangazaji/mpokeaji (ujumbe wa) redio wa ridhaa ~ handed/fisted zito (katika kutumia mikono). ~ burger n hambaga: kababu ya nyama iliyosagwa (agh inayoliwa ndani ya mikate miwili).