hall-mark

n chapa inayopigiwa fedha au dhahabu kuonyesha ubora wake; (fig) sifa bainifu. vt tia chapa.