n nusu ~ of two is one nusu ya mbili ni moja cut in ~/into halves kata nusu kwa nusu. (do something) by halves (fanya jambo) ovyoovyo. go halves (with somebody) in something gawana nusu kwa nusu too clever etc. by ~ erevu mno n.k. one's better ~ (colloq) mke/mume (wa mtu) adj, adv nusu; kwa kiwango kikubwa ~-cooked bichi -sioiva sawasawa; half-deadadj (colloq) -iliochoka kabisa, hoi. not ~-bad (sl) si mbaya, nzuri vya kutosha. not ~ sana, haswa he didn't ~ swear alitukana sana was she annoyed? Not ~ alikasirika? Sana! mno! (in compounds) ~ a dozenn sita. ~ and ~n kitu kilichote ngenezwa kwa nusu mbili tofauti. ~-backn (in football/hockey) hafubeki. half-bakedadj (colloq) -jinga; -sio na uzoefu a ~-baked man mtu mjinga ~ baked ideas mawazo ya kijinga. half-bloodn ndugu waliochangia mzazi mmoja, ndugu wa kambo. half-breed/~casten chotara. half-brothern kaka wa kambo. half-cockadj (of a gun) -liofunguliwa nusu. go off at ~-cock (fig) shindwa kufanya jambo kwa sababu ya haraka. half-hardyadj (of plants) -nayohitaji kinga kutokana na jalidi. half-heartedadj -a shingo upande. ~-heartedlyadv. half-holidayn nusu siku. ~ an hour; a ~-hourn nusu saa, dakika thelathini. half-hourlyadj,adv -a kila nusu saa. half-lengthadj (of a portrait) nusu. at ~-mast (of a flag) nusu mlingoti. half-payn nusu mshahara he is placed on half-pay anapata nusu mshahara. -pennyn nusu peni. ~ penny-worth; ~ ha'p'orthn -nayogharimu nusu peni. half-priceadv bei/kiingilio nusu. half-seas-overpredadj (colloq) -liolewa kiasi. half-sistern dada wa kambo. half-sizeadj -a nusu umbo la kawaida. ~ termn mapumziko/ likizo (katikati ya muhula wa shule). ~- timberedadj -liojengwa kwa mbao na matofali/mawe n.k.. half-timen (of work) ya nusu siku; (of sport) hafutaimu, mapumziko. half-tonen. picha isiyo ya rangi (agh. katika kitabu). ~ trackn gari la askari lenye magurudumu ya minyororo nyuma. half-trackedadj; half-truthn usemi wenye ukweli nusu. half-wayadj nusu njia, katikati; (incomplete) -sio kamili -a juujuu adv kwa kuafikiana meet a person ~-way -wa tayari kuafikiana. half-wittedadj -enye akili pungufu, -sio na busara. half-witn punguani. half-yearlyadj,adv. -a kutendeka/kutokea kila nusu mwaka, mara mbili kwa mwaka. halvevt gawa nusu kwa nusu, punguza kwa nusu yake.