hair
n 1 nywele; usinga; (of beard) ndevu; (of hand and arm)(ma)laika; (pubic) (ma)vuzi; (of animals) singa, manyoya comb ~ chana nywele. get in somebody's ~ udhi/kera mtu. get somebody by the short ~s (sl) weka mtu mkononi. keep your ~ on (sl) poa, tulia; usipandwe na mori. let one's ~ down (of a woman) achia nywele zianguke mabegani; (fig) jiachia (baada ya kipindi cha kubanwabanwa). lose one's ~ pata upara; kasirika. make one's ~ curl (fig) shtua sana. make one's ~stand on end ogofya. put one's ~ up tengeneza nywele (kwa kuzifunga utosini). split ~s ona/ jifanya kuona/shughulikia/sisitiza tofauti ndogo sana (za maana n.k.). hair-splitting n kuona tofauti ndogo sana; mabishano ya bure. tear one's ~ onyesha huzuni kubwa. not turn a ~ -toonyesha kujali/wasiwasi to a ~ (of describing something) hasa, kabisa. 2 (compounds) ~ ('s) breadth n chupuchupu; umbali mdogo sana (baina ya) escape by a ~'s breadth nusurika, ponea chupuchupu. ~- brush n brashi ya nywele. ~-cloth n kitambaa chenye manyoya. ~-cut n kunyoa; (mtindo wa) kukata nywele. ~-do n. mtindo wa kutengeneza nywele. ~-dresser n mtengeneza nywele (k.m. msusi, kinyozi). ~-dye n rangi (ya kupaka) nywele. hair-line n maoteo ya nywele kwenye ngozi; (attrib) -embamba sana a ~line space nafasi nyembamba sana. ~-net n wavu wa kufungia nywele. ~-oil n mafuta ya nywele. ~-piece n kipande/kibandiko (cha nywele bandia), wigi. ~-pin n chupio (ya nywele). ~-pin bend n kona kali hasa kwenye mwinuko mkali. hair-raising adj -a kutisha, -a kuogofya. hair-shirt n shati lililoshonwa kwa kitambaa cha manyoya. ~-slide n kibanio (cha nywele). ~-spring n kamani, utumbo wa saa. ~ style n mtindo wa nywele. hairstylist n msusi. hair-trigger n kifyatuo cha bunduki (kinachotoa risasi hata kwa kuguswa kidogo tu). hairless adj bila nywele; -enye upara. hairlike adj. hairy adj -a kama nywele, -liojaa nywele. hairiness n.