hail

hail

1 n 1 mvua ya mawe. ~-stone nkijiwe (cha mvua ya mawe). ~ storm n tufani ya mvua ya mawe. 2 (fig) wingi/mfululizo (wa matusi, ngumi n.k.). vt,vi 1 -nya mvua ya mawe. 2 ~ (something) down (on somebody) (of blows etc) angushia, piga, tolea kwa nguvu na haraka ~ curses on somebody tukana mtu sana, tolea matusi mfululizo.

hail

2 vt,vi 1 ita (na kusalimu, kusifia kukaribisha, n.k.) ~ a taxi ita teksi he was ~ed as a hero alisifiwa kama shujaa. 2 ~ from toka, tokea where does the ship ~ from? meli inatoka wapi? n salamu, wito. ~-Mary (rel) Salamu Maria. within ~ (esp of ship) karibu kiasi cha kuweza kusikia wito. be ~-fellow- well-met (with somebody) (sometimes derog) kunjufu (mno).