hack

hack

1 vt,vi ~ (at) katakata; tema. ~ing cough n kikohozi kikavu. hacksaw n msumeno wa kukatia chuma.

hack

2 n 1 farasi wa kukodi. 2 mtu (anayepewa kazi ya kuandika iliyo ngumu na inayochusha, au ambaye anaandika kazi hafifu). vt tembea barabarani na farasi. ~ work n kazi ya uandishi wa kutafuta pesa tu.