guy
guy
1 n 1 (sl)jamaa. vt dhihaki; fanya/ onyesha sanamu ya mtu (kwa lengo la kubeza, kuchoma moto n.k.). 2 sanamu (inayovalishwa na kuchomwa moto siku ya Novemba 5 Uingereza). 3 mtu aliyevaa kiajabuajabu; kinyago.guy
2 (also ~rope) n kamba ya kukazia/ kuinulia hema n.k.