gutter

gutter

1 n 1 mchirizi, mfereji; mlizamu. 2 the ~ n (fig) ufukara, ukata thelanguage of the ~ lugha ya matusi take the child out of the ~ toa mtoto kwenye ufukara. the ~ press n magazeti ya matusi na kashifa. guttersnipe n msikwao.

gutter

2 vi (of a candle) waka kwa vipindi (hata nta kutiririka upande mmoja).