gut

n 1 (colloq) matumbo; utumbo. hate somebody's ~s chukia mtu mno. 2 (pl) (colloq) yaliyomo (katika kitu/jambo fulani) his speech had no ~s hotuba yake haikuwa na lolote (la maana). 3 (pl) (colloq) ujasiri: he has no ~s yu mwoga. 4 uzi wa utumbo (utumikao kwa kutengenezea zeze n.k.). vt 1 (remove ~s) tumbua. 2 (destroy) teketeza a house ~ted by fire nyumba iliyoteketezwa kwa moto. gutless adj -oga.