gun

n 1 bunduki. be going great ~s endelea vizuri sana. blow great ~s of the wind vuma kwa nguvu sana. stand/stick to one's ~s shikilia msimamo wako (be) sure as a ~ (-wa na) hakika kabisa. ~ barrel n mtutu. ~ boat n manowari ndogo inayobeba mizinga. ~ boat diplomacy n (fig) diplomasia ya vitisho. ~ cap n fataki. ~ carriage n gari la mzinga. ~ cotton n baruti ya pamba iliyolowekwa kwenye asidi. ~ fire n mlio/mapigo ya bunduki/mzinga. ~ man n jambazi. gunmetal n mchanganyiko wa madini ya shaba na bati au zinki. ~ powder n baruti. ~ room n (in a warship) chumba cha maofisa wa ngazi za chini. ~ running n magendo ya silaha. ~ runner n mwendesha/mfanya magendo ya silaha. ~ shot n mpigo wa bunduki; masafa ya bunduki. ~ smith n mfua bunduki. 2 mwindaji. 3 big ~ n (colloq) mtu maarufu au mwenye madaraka makubwa, mheshimiwa. vt ~ somebody (down) piga mtu risasi. gunner n mpiga mizinga; (in the navy) ofisa msimamizi wa silaha. gunnery n utengenezaji/utumiaji wa mizinga.