gum

gum

1 n ufizi wa meno, sine. gumboil n jipu la ufizi.

gum

2 n 1 sandarusi; gundi, ulimbo. 2 chewing ~ ubani. 3 (also ~ tree) mkalitusi. up a ~ tree (sl) kwa shida sana. ~ boot n buti ya mpira. ~ shoe n (US) raba; (sl) mpelelezi. vt gandisha, tia gundi, paka gundi. gummy adj.

gum

3 n (esp. N England) (in oaths etc) Mungu.