guinea

n gini (sarafu ya zamani ya dhahabu yenye thamani ya shilingi ishirini na moja) ~-corn n mtama. guinea-fowl n kanga; (crested) kororo; chepeo. guinea-pig n 1 nungubandia (agh. hutumiwa kwa majaribio). 2 mjaribiwa.