guilt

n hatia. guiltless adj -tokuwa na hatia; -safi ~less of robbery -siokuwa na hatia ya ujambazi. guilty adj. ~y (of) 1 -liofanya kosa plead ~y of an offence kiri kosa. 2 -enye hatia, -enye kuonekana na hatia ~y look -enye uso wa hatia look ~y onekana kuwa na hatia ~ y conscience hisia ya hatia, majisuto be found ~y onekana na hatia find ~y ona/patwa na hatia. ~y or not ~y una makosa au huna.