guillotine

n gilotini: bamba la kukata kichwa (kwa wahalifu Ufaransa); kisu cha kukatia makaratasi; (in parliament) ukatishaji mjadala (wa kupinga mswada). vt kata (kwa bamba/kisu) kichwa, karatasi.