guide

n (of a person or instruction) 1 kiongozi. Girl G~ n skauti wa kike teacher's guide kiongozi cha mwalimu railway ~ kiongozi cha safari za gari moshi. 2 kiashirio, kishawishi. guidelines n mwongozo (agh. kutoka kwa wenye madaraka). 3 ~ book n kitabu cha kuongoza wageni/wasafiri. 4 kielekezi. ~d missile n kometi inayoongozwa. vt ongoza, elekeza, onyesha njia. guidance n 1 kuongoza; kuongozwa; uongozi for your guidance kwa mwongozo wako. 2 ushauri(kwa kazi).