guest

n mgeni. ~ room n chumba cha wageni. ~ of honour n mgeni wa heshima. ~ house n nyumba ya wageni. ~ night n usiku wa karamu (ya wageni wa klabu). paying ~ n mgeni alipaye kodi ya malazi na chakula (kwenye nyumba ya mtu).