guerrilla/guerilla

n askari wa msituni; mpiganaji wa kuvizia (agh. wa vita vya msituni), apiganaye katika vikundi vidogo msituni. urban ~ n mpiganaji wa kuvizia (wa mjini). ~ warfare/war n vita vya msituni/vya askari wa msituni.