guard
n 1 ulinzi you will be on ~ today utakuwa mlinzi leo the militia was orderd to keep ~ mgambo aliamriwa kulinda lindo. 2 tahadhari, kujihadhari, kujikinga. be on/off one's ~ jihadhari, jikinga he was on his ~ against pick pockets alijihadhari na wezi wa mifukoni. 3 askari, kikosi cha askari walinzi, mlinzi. change ~ (mil) badilisha walinzi. mount ~ ingia lindoni (kama mlinzi). relieve ~ chukua nafasi ya mlinzi aliyemaliza zamu. stand ~ kuwa mlinzi, linda. 4 (also called warder) askari jela (wanaolinda jela). 5 (GB) (of a railway train) gadi. 6 (pl) Guards n walinzi wa kiongozi wa nchi/mfalme. 7 gadi, askari (wenye kumlinda, kumpa heshima, kumsindikiza mtu) the President inspected the ~ of honour Rais alikagua gwaride la heshima. 8 (compounds) ~ boat/ ship n. mashua/meli ya doria. ~ house n (mil) nyumba ya walinzi; mahabusu. ~ room n chumba cha walinzi; mahabusu. vt 1 linda ~ a bridge linda daraja. 2 ~ against (ji) hadhari, (ji)linda kwa uangalifu ~ against malaria jikinge dhidi ya malaria. guarded adj (of statements) -a hadhari ya ~ed answer jibu la hadhari. guardedly adv kwa hadhari. guardian n 1 (official or private legal use) mlezi. 2 mwangalizi. guardianship n ulezi; ulinzi.