gruff

adj (of behaviour) -a tabia mbaya; (voice) -nene, -a kukwaruza. grumble vt,vi 1 ~(at/about/over something) lalamika; nung'unika ~ over trivial issues lalamika kwa mambo yasiyo na maana. 2 ~ (out) nung'unika. 3 vuma, nguruma. n lalamiko. ~r n.