group

n 1 jamii, kundi, kikundi so and so's ~ kundi la akina fulani. 2 (cultivating together) chaa. 3 (mil) kikosi. ~-captain n ofisa kiongozi wa jeshi la anga. 4 (math) kikundi. 5 (mus) bendi. vt,vi panga/weka katika makundi ~ed data data ya vikundi.