grotesque

adj 1 -a ajabu (hata kuchekesha), -a kioja. 2 (art) -enye sura (za binadamu/wanyama n.k.) za ajabu. n jambo la kuchekesha, kioja cha kuwazika. grotesquely adv. grotesqueness n.