gross

gross

1 n dazeni kumi na mbili.

gross

2 adj 1 -sio na adabu, chafu ~ language tusi. 2 (of food) -baya (kisichovutia); -enye mafuta mengi ~ eater mlaji anayependa chakula kibaya. 3 (of the senses) zito na -siochangamka. 4 wazi, dhahiri sana ~ injustice udhalimu dhahiri. 5 (of vegetation) -a kusitawi sana. 6 (of persons) -nene kupita kiasi, nono. 7 jumla, kamili/yote; ghafi ~ profit faida ya jumla. ~ national product (GNP) n Jumla ya Pato la Taifa. 8 in (the) ~ jumla jumla. vt leta kipato cha jumla exports sales of cotton ~ed one million last month mwezi jana uuzaji wa pamba umechuma pato ghafi la shilingi milioni moja. grossly adv. grossness n.