grocer

n mwuza duka (la vyakula na bidhaa ndogo ndogo). ~'s (shop) n duka la bidhaa za vyakula na matumizi ya nyumbani (k.m. sabuni n.k.). grocery n 1 biashara ya kuuza vyakula. 2 duka (la vyakula k.m. pilipili, bizari). 3 (pl) groceries n bidhaa za vyakula na matumizi ya nyumbani.