groan

vi,vt 1 gumia, piga kite; koroma. 2 (of things) toa sauti ya kuelemewa. 3 ~ (out) simulia kwa sauti ya huzuni/maumivu. 4 ~ down zomea. n kite, mgumio.