gripe

vt,vi 1 uma/umwa tumbo. 2 nung'unika, lalamika. n malalamiko. griper n mlalamikaji. (the) ~s n (colloq) maumivu makali ya tumboni, msokoto wa tumbo. ~ water n dawa ya msokoto wa tumbo.