grind

vt,vi 1 ~ (down) (to/into) saga ~ down to flour saga mpaka kuwa unga. 2 sagika. 3 ~ (down) (usu passive) (fig) dhalilisha ~ down the poor onea watu maskini. 4 (of tools etc) noa ~ a knife noa kisu. 5 kereza, kwaruza; (of teeth) saga meno. ~ to a halt (of a vehicle) simama kwa breki za kukwaruza; (fig) (of a process) simama polepole the scarcity of raw materials brought our industry ~ing to a halt uhaba wa mali ghafi umesababisha kiwanda chetu kusimama polepole. 6 endesha kwa kuzungusha ~ a coffee mill endesha kinu cha kahawa kwa mkono. 7 ~ (away) (at) fanya kazi/soma kwa bidii na kwa muda mrefu ~ away at one's work fanya kazi kwa bidii sana ~ for an examination bukua. n (colloq) kazi ya kuchusha ya muda mrefu. grinder n 1 mashine/kisagio; chego, gego coffee ~er mashine ya kusaga kahawa. 2 (in compounds) msagishaji; mnoaji a knife ~er mnoa kisu. ~-stone n kinoo, cherehe; (for grinding grain) kijaa. keep one's nose to the ~stone shurutisha kufanya kazi kwa bidii bila kupumzika.