grill

n 1 chanja/wavu wa kuchomea nyama n samaki n.k. 2 nyama/ samaki n.k. iliyochomwa. ~ room n chumba cha kuuzia vyakula vilivyobanikwa katika hoteli. mixed ~ n mchanganyiko wa nyama tofauti k.m. steki, maini n.k.. vt,vi 1 choma nyama, samaki n.k.; jianika katika jua/joto kali sana. 2 (of the police) hoji mkosaji kwa ukali.