n 1 huzuni, ghamu. 2 kitu kiletacho huzuni. bring to ~ tia nuhusi. come to ~ pata maumivu, balaa, huzuni n.k.; angamia. grief-strickenadj -liopatwa na msiba/hasara/majonzi, -enye huzuni. grievance(against)n nung'uniko, lalamiko, dai air one's grivance toa manung'uniko have a grievance against somebody -wa na kisa na, lalamikia mtu. grievevt,vi 1 sikitisha, huzunisha. 2 sikitika, huzunika. grievousadj 1 -a kuhuzunisha, -a kusikitisha a grievous massacre mauaji ya kuhuzunisha. 2 kali sana grievous pain maumivu makali grievous punishment adhabu kali. grievouslyadv.