grid

n 1 (of electricity) fito umeme (mfumo wa waya wa kupitisha umeme). 2 miraba fito, mstari ramani. 3 kiunzi cha fito (za chuma) zinazokingamana, chanja. 4 kiunzi cha waya za redio. 5 fitokaangio (za kukaangia nyama). griddle n kiokeo, chuma. gridiron n 1 fito, kaango, chanja. 2 (US) kiwanja cha mpira wa miguu.