grey/gray
adj 1 -a rangi ya kijivu. 2 -enye mvi she has ~ hair ana mvi. ~-board n shaibu. ~-headed adj -zee, -a siku nyingi. ~ matter n ubongo. n kijivu she is dressed in ~ amevaa nguo ya kijivu. vt,vi -wa na rangi ya kijivu, ota mvi. ~ish adj kijivukijivu. ~hound n mbwa mwindaji. ocean ~ n meli ya abiria iendayo kasi.