adj 1 -a kijani, -a chanikiwiti give somebody/get the ~ light(colloq) -pa mtu/pata ruhusa ya kuendelea na jambo fulani. 2 (of fruit, wood) -bichi ~ oranges machungwa mabichi ~ wood does not burn well kuni mbichi haziwaki vizuri. 3 -sio na uzoefu; -sioendelea, mshamba, -sioelimika he is still ~ at his job hana uzoefu katika kazi yake. 4 (fig) -a kusitawi, -enye nguvu. 5 (of the complexion) -a kufifia, -gonjwa, -a kusawajika. green-eyedadj -enye wivu/ husuda, -a kijicho. the ~-eyed monstern kijicho, husuda. ~ with envy -enye kijicho sana. 6 (special compounds)~-backn(US) dola, noti ya fedha za Marekani. ~-fingersn(colloq) ustadi katika shughuli za bustanini. green-flyn (aina ya) kidukari. ~-grocern muuza duka la mboga na matunda. ~ groceryn biashara/uuzaji wa mboga na matunda. ~-hornn zuzu, mshamba. green-housen nyumba ya kioo (ya kuhifadhi mimea). greenroomn chumba (cha mapumziko). ~-stuffs; ~sn(pl) mboga za majani. ~-tean majani ya chai yaliyokaushwa kwa mvuke. ~-woodn mbuga (hasa wakati wa kiangazi); msitu uliostawi. n 1 kijani, chanikiwiti. 2 (pl) mboga za majani (kabla au baada ya kupikwa) (US) Christmas ~s matawi ya msonobari ya kupambia. 3 eneo linaloota majani kwa matumizi ya wote/kwa mchezo wa tufe kuzunguka shimo katika uwanja wa gofu. greeneryn majani ya kijani, kijani cha mimea michanga. greenishadj -a kijanikijani (in compounds)greenish-yellown njano-kijani greenishnessn. Greenwichn Griniwichi. Greenwich mean timen (abbrGMT) wastani wa majira ya jua; saa ya ulimwengu.