grease

n 1 shahamu iliyoyeyushwa. 2 grisi; bereu. ~-gun n chombo cha kuingizia grisi katika mashine. ~-paint n (of actors) rangi iliyochanganywa na shahamu ya kupaka usoni. vt paka, tia grisi (hasa katika viungo vya mashine). ~ one's palm n -pa rushwa. greaser n mpaka/mtia grisi katika mashine. ~ proof adj (of paper) isiyoruhusu grisi ipite. greasy adj -enye shahamu, -enye grisi; -a kuteleza a greasy path njia ya kuteleza. greasy-spoon n (sl) mkahawa mchafu. greasily adv. greasiness n.