grave
grave
1 n kaburi. have one foot in the ~ chungulia kaburi. grave-clothes n sanda. ~ stone n tofali linalowekwa juu ya kaburi likiwa na jina la marehemu. graveyard n makaburini, sehemu ya makaburi. ~ digger n mchimba kaburi.grave
2 adj -a kuhitaji makini, -kubwa; -a mashaka, -a hatari. ~ offence n kosa kubwa the situation is more ~ hali ni mbaya.grave
3 vt (arch or liter) chora/chonga ~n image sanamu ya kuabudika.grave
4 n alama itumikayo kuonyesha jinsi irabu inavyotamkwa katika neno fulani.