grateful

adj 1 ~ (to somebody) (for something) -a kushukuru, -enye shukurani we are ~ to you for your help tunakushukuru kwa msaada wako. 2 (liter) tamu, -a kupendeza trees that afford a ~ shade miti yenye kivuli cha kupendeza. gratefully adv. gratefulness n. gratitude n. ~ (to somebody) (for something) shukrani. gratify vt 1 pendeza, furahisha, anisi we were all gratified with/at the results tulifurahishwa na matokeo. 2 tosheleza gratify a child's thirst for knowledge kidhi haja ya mtoto ya kutaka kupanua maarifa. gratifying adj. gratification n.