grate
grate
1 vt,vi 1 kuna, paruza ~ coconut kuna nazi. 2 ~ (on) kwaruza (kwa makelele) (fig) udhi, sumbua. gratingly adv. grater n kikalio/mbuzi. coconut ~r n mbuzi.grate
2 n chanja ya chuma kwenye tanuri. grating n kiunzi cha nondo (agh. huwekwa dirishani kwa usalama).