grass

n 1 majani. not let the ~ grow under one's feet (fig) tekeleza jambo (bila kuchelewa), -tochelewesha jambo. 2 nyasi. 3 malisho ya wanyama; malishoni put land under ~ geuza shamba liwe malisho. turn/put animals etc out to ~ peleka wanyama malishoni. 4 (comp) grassroots n (polit) umma. ~snake n ukukwi. ~ widow(er) n mjane wa muda; mwanamke anayeishi mbali na mume kwa muda. grassland n ukanda wa mbuga. vt,vi 1 funika kwa majani/nyasi; lisha wanyama majani/ nyasi. 2 ~ (on somebody) (GB sl) chongea, toa habari, saliti. grassy adj.