n grafu. ~ papern karatasi ya grafu. graphicadj 1 -a ishara/alama zinazoonekana (k.m. maandishi, michoro, vielelezo n.k.). 2 -a wazi, -a bayana, -enye kutoa picha wazi (akilini) (comp)~ic artsn sanaa za maandishi, kuchora, kunakshi n.k.. n vitu vitokanavyo na sanaa hizo. graphicallyadv kwa kuandika au kuchora; (fig) bayana, waziwazi, dhahiri.