grand

grand

1 adj 1 -kubwa; -kuu (official title) G~ Master Mkuu, ashrafu; (sports) bingwa wa mchezo wa sataranji. G~ Vizier n (arch) Waziri Mkuu Uturuki ~ finale kilele, mwisho maalum. ~ entrance n lango kuu. 2 muhimu; maalum. 3 -tukufu; -a fahari ~ clothes nguo za fahari. 4 -enye kujiona, -a majivuno. 5 (colloq) -a kupendeza, zuri sana. 6 kamili the ~results of our efforts matokeo kamili ya jitihada zetu. 7 -adilifu. 8 (phrases) ~ opera n opera: maigizo ya dhamira makini yatekelezwayo kwa kuimba. ~ piano n piano babu kuu. G~ Prix n mashindano ya kimataifa ya mbio za magari. ~ stand n jukwaa maalum (lenye paa). grandly adj. grandeur n fahari, ukuu, utukufu. grandiloquent adj -a kujivuna/maneno; -semi, -a kupiga domo. grandiose adj 1 -a fahari, -a kujionyesha. 2 -a kujivuna; adhimu.

grand

2 (pref) ~ child n mjukuu. ~ son/daughter n mjukuu wa kiume/kike. ~ parent n babu/bibi. ~ father/mother n babu/bibi. ~ nephew/niece n mjukuu wa mjomba/shangazi. ~uncle/aunt n mjomba/shangazi wa baba/mama. ~ father clock n saa babu kuu. grand-dad/grandad n (colloq) babu. grandma n (colloq) bibi. grandpa n (colloq) babu.