grammar

n 1 sarufi. 2 kitabu cha sarufi. ~ school n (GB) shule ya sekondari (inayoelemea taaluma). grammarian n mwanasarufi. grammatical adj -a kisarufi grammatical error kosa la kisarufi. grammatically adv.