graft
graft
1 n 1 kipandikizi: chipukizi lililopandikizwa katika mmea mwingine. 2 (surg) kipandikizi: kipande cha ngozi au cha mfupa n.k. cha mtu au mnyama kilichotiwa mwilini mwa mtu mwingine au katika sehemu nyingine ya mwili uleule. vt pandikiza chipukizi/ngozi katika mti, mtu au mwili; unganisha.graft
2 n rushwa. vi 1 -la rushwa. 2 suka mpango, fuata desturi ya udanganyifu (mara nyingi katika biashara). grafter n mla rushwa.